4x4

WANAFUNZI WA FEZA WALIOSHINDA MEDALI MAREKANI WAWASILI NCHINI

 Wanafunzi wa shule ya sekondary Feza Girls walioshiriki mashindano ya genIus olympian Marekani na kushukua medali kumi zikiwemo bronze na Silver wametua  Dar es salaam mchana huku  wakipokelewa na wazazi wao pamoja na walimu pia kundi lingine linawasili saa nne usikuPost a Comment