4x4

Yusuf Manji Atii Agizo la JPM, Asitisha Mpango wa Kuiendeleza Coco Beach

MWENYEKITI wa Makampuni ya Quality Group, Yusuf Manji amesitisha mpango wake wa kuliendeleza eneo la ufukwe wa Coco (Coco Beach) jijini Dar es Salaam baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza eneo hilo libaki kwa ajili ya matumizi ya wananchi.


Post a Comment