4x4

Zari ajibu… ni baada ya picha aliyoipost Diamond kwa hasiraDakika chache zilizopita mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz alionekana kukasirishwa na picha ya mpenzi wake ‘Zari‘ kuonekana na Mwanaume kwenye spa katika picha zilizosambaa.
Maneno ya Diamond Platnumz baada ya hiyo picha ni haya >>> “Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa
Baada ya maneno hayo ya Diamond, Zari nae ametuma post mbili kutolea ufafanuzi hizo picha kwa kuandika kuwa Mwanaume aliyeonekana nae ktk picha ni Binamu wa Marehemu Ivan na hiyo picha yao  ilipigwa na Mke wake.
Kwenye post nyingine Zari aliweka picha nne kwenye picha moja na kuonyesha watu aliokua nao siku hiyo na kuonyesha kukasirishwa na waliozisambaza hizo picha…. akaandika >>> “And to the fools circulating this nonsense mnitole nja zak****e kwa maisha yangu punda nyinyi…..
Tunaamini haya yatapita na amani itarejea…. bado tungependa kuwaona pamoja wakifurahia mapenzi yao
Post a Comment