CHADEMA YATANGAZA VITA NA CUF YA LIPUMBA


Tundu Lissu.

Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), Tundu Lissuamesema Ukawa wanatangaza vita na CUF ya Profesa Ibrahim Lipumba kama walivyo vitani na CCM ya Rais John Magufuli.

Lissu ameyasema hayo leo (Jumatatu Julai 17) wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho.

Lissu amesema Profesa Lipumba amewasaliti kwa kuwa yeye ndiye aliyempitisha Lowassa (Edward) kuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya Ukawa
“CUF ya Lipumba ilitusaliti kama Yuda Iskariot alivyomsaliti Yesu,”amesema Lissu.
Pia Lissu amelishauri jeshi la polisi kuacha kupambana na upinzani na badala yake wakapambane na wahalifu wanaofanya mauaji Kibiti.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)