4x4

Diamond Platnumz, Fella na Tale msibani kwa Waziri Mwakyembe

Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz, Mameneja wake Said Fella na Babu Taleni miongoni mwa mastaa wa Bongo waliofika nyumbani kwa Waziri wa Habari Dr. Mwakyembe kutoa pole kufuatia kifo cha Mke wake Linah George.
Post a Comment