FAMILIA YA MTEMVU YATOWA SHUKRANI



 Familia ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke , Abbas Mtemvu yatowa sadaka ya shukrani kufuatia kifo 
cha mama yao mpendwa, Sitti Mtemvu katika Kanisa la Yesu Kristo Huduma ya Maombi na Maombezi lililopo Mbezi Salasala kwa Nabii Frola Mack, ambapo familia hiyo hivi karibuni inatarajia kuhitimisha Arubaini ya mama yao mpendwa. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Mtoto wa Marehemu Sitti Mtemvu,  Amina Mtemvu (kulia) akizungumza jambo na  Nabii, Frola Mack (kusho).




Waumini wakisikiliza kwa makini wakati Nabii,  Frola Mack alipokuwa akizungumza neno


Mtoto wa marehemu Sitti Mtemvu,  Herry Mtemvu (kulia) akizungumza jambo wakati walipofika katika Kanisa la Yesu Kristo Huduma ya Maombi na Maombezi lililopo Mbezi Salasala kwa Nabii Frola Mack, la  kutowa shukrani

Mtoto wa Marehemu Sitti Mtemvu,  Amina Mtemvu (kulia) akitowa sadaka ya shukrani 







Mama Mtemvu (kushoto) akizungumza na Nabii, Frola Mack  katika Kanisa la Yesu Kristo Huduma ya Maombi na Maombezi lililopo Mbezi Salasala









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.