Preview YouTube video Rais Mwinyi Atenbelea Maonesho Ya Sabasaba
Preview YouTube video Rais Magufuli Asaini Miswada Miwili Iliyopitishwa Na Bunge
Preview YouTube video Bunge Lairishwa Hadi Mwezi September
Preview YouTube video Vyombo Vya Habari Vyatakiwa Kueneza Taarifa Kuhusu Dhana Ya Uchumi Wa Viwanda
Preview YouTube video SACCOS Ya Walimu Meatu Yatakiwa Kutoa Mikopo Kwa Wanachama
Preview YouTube video Watakiwa Kuwaibua Wagonjwa Wa Kifua Kikuu
Preview YouTube video Watu Wenye Ulemavu Watakiwa Kutumia Fursa Kujiletea Maendeleo
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments