MBOWE AISHAURI SERIKALI KUANDAA MPANGO WA KUEREKEBISHA MDORORO WA KIUCHUMI

Mwenyekiti wa Chadema, Freman Mbowe

Leonce Zimbandu
CHAMA cha  Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  kimeitaka serikali kuandaa mpango mfupi wa kurekebisha mserereko wa kiuchumi ili kukabiliana na hali ngumu ya maisha.

Aidha, Chadema imeendelea kuitaka serikali kuweka wazi taarifa  zilizotolewa na kamati mbili ambazo zimeweka rekodi za kidunia  kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuiandikia ACACIA madai ya kodi sh. trilioni 425 sawa na dola bilioni 190.

Tamko hilo limetolewa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo baada ya kikao cha siku mbili cha kamati kuu.

Alisema kamati hiyo ilikutana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujadili  ajenda tatu ambazo ni hali ya kisiasa nchini, taarifa ya hali ya uchumi na kamatakamata ya viongozi na vyombo vya dola.

“ Tumewaita ili kuwashirikisha kuhusu ripoti ya uchumi inayotolewa na Benki kuu kila mwezi kama ilivyotolewa Julai 14, mwaka huu na kulinganisha ilivyokuwa Mei, 2015 ili kupata mserereko wake,” alisema.

Alisema uchumi hupimwa na vigezo vingi hivyo akiba ya chakula Mei, 2015 ilikuwa tani 406,846 ukilinganisha na tani 74, 826 Mei, mwaka huu, hiyo ni sawa na asilimia 18.3


Aliongeza mazao mengine ya chakula, ikiwamo Maharage, viazi na sukari
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WENGI WAJITOKEZA KUMUAGA MPENDWA WAO MWANAHABARI JOYCE MMASI