RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MRADI WA MAJI NGURUKA WILAYA YA UVINZA MKOANI KIGOMA

 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo 

 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza mwenyekiti wa kijijji cha Uvinza Ndugu Nilisi Noa Ntabai alipokuwa akieleza kero ya maji ya eneo hilo la uvinza ikiwemo kusimama kwa kiwanda cha chumvi Uvinza ambacho kilikuwa tegemeo kwa wananchi wa eneo hilo,ambapo Mhe,Rais amewaahidi wananchi hao kumtuma Waziri wa Viwanda na Biashara kushughulikia tatizo hilo. Julai 23,2017.
 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo 
 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikagua tanki la akiwa kuhifadhia maji toka mto Maragalasi kabla ya kuweka jiwe la msingi la maradi huo utakao hudumia wananchi wa Nguruka, Uvinza, mkoani Kigoma. Kulia ni  Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge. 
 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa ameambatana na Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge wakishuka ngazi mara baada ya Mh,Rais Kukagua Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka kabla ya kuhutubia wananchi. 
 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mkono na   Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge mara bada ya kuweka jiwe la msingi la maradi wa maji Nguruka. 
 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka. 
 Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwa ajili ya Wananchi wa Nguruka. 
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasalimia Mamia ya  Wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma mara baada ya kuhitimisha kuwahutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka. Picha na IKULU 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI