4x4

RATIBA YA MAZISHI YA MKE WA DK HARRISON MWAKYEMBE

Ratiba ya mazishi
Ratiba ya mazishi ya Linah Harrison Mwakyembe imetolewa na familia ambapo inaonesha kuwa Jumanne, Julai 18 shughuli za mazishi zinatarajiwa kuanza rasmi asubuhi nyumbani kwa Dk. Harrison Mwakyembe, Kunduchi Beach na marehemu ataagwa katika kanisa la Usharika wa KKKT Kunduchi jijini Dar es salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana. Marehemu anatarajiwa kusafirishwa kwa ndege hadi mkoani Mbeya ambako anatarajiwa kuzikwa Jumatano Julai 19, 2017.


Post a Comment