4x4

SHULE YA FEZA YAFANYA KWELI MATOKEO KIDATO CHA SITA

 Wanafunzi Frncis Thomas aliyemaliza Kidato cha Sita katika Shule ya Wavuana Feza ya Dr es Salaam, akiwa amebebwa na wanafunzi wenzie baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika masomo ya Sanaa na Biashara atika matokeo yaliyotangazwa  na Baraza la Mitihani la Taifa juzi. (NA MPIGAPICHA MAALUMU)
Wanafunzi wa Shule ya Sekodari Feza, waliofanya vizuri kuwemo kenye kumi bora kitaifa, Kabhabhira Bakuru (kulia) na Atuganile Cairo wakiwa na furaha baada ya kupata tarifa ya matkeo hayo Dar es Salaam .(NA MPIGAPICHA MAALUMU)
Post a Comment