WATU WAYADAKA MAJINA YA MAPACHA WA JAY Z NA BEYONCE


TUMEYAPATA! Huku watoto mapacha wa Jay Z na Beyonce wakiwa wamezaliwa siku chache zilizopita, hatimaye wafukunyuaji nchini Marekani wameyabamba majina mawili ambayo wanahisi ndiyo watakayopewa watoto hao ambayo ni Rumi Carter na Sir Carter.
Wadadavuaji wa mambo wamekwenda mbele na kusema kwamba labda Jay Z ataamua kumpa pacha wake mmoja jina la Rumi kwa kuwa tu lilikuwa jina maarufu sana katika karne ya 13 lakini kwa neno Sir ni kwamba lilikuwa maarufu sana kipindi cha nyuma ambapo lilianza kutumika katika shairi moja huko nyuma ambapo mistari yake kwa uchache tu inaimbwa
“Bring the pure wine of
love and freedom.
But sir, a tornado is coming.
More wine, we’ll teach this storm
A thing or two about whirling.” 
Mbali na hayo yote, pia majina hayo ndiyo yatakuwa alama ya biashara katika biashara zao nyingi wanazozifanya kama manukato, mafuta, chupa za maji na biashara nyingine nyingi tu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI