More
2 of 3,181
YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 14, 2017.
Yaliyojiri katika vituo mbalimbali vya Televisheni hii leo.
Tazama mazungumzo kutoka kwa wanafunzi waliosoma nchini China wakielezea mambo waliojifunza wakiwa nchini China. https://youtu.be/zgkOA1LElxQ
Serikali imetangaza kusitisha mishahara kwa watumishi wa umma wenye vyeti vya darasa la saba walioshindwa kujiendeleza kielemu; https://youtu.be/ToD30SKWlWo
Rais mstaafu wa Ireland Mary Robnson aipongeza serikali ya Tanzania kwa sera yake ya kutoa elimu bure kwa wananchi wake; https://youtu.be/l6iR2BKR5Kk
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda apokea wageni 18 kutoka nchini Marekani wanaotarajia kujenga makitaba ya mkoa. https://youtu.be/qqhktAVA8XE
Kiongozi wa mbio za Mwenge aiagiza halmashauri ya wilaya ya Msalala kupanua maeneo ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji wengi; https://youtu.be/gS9FbUoGa1w
Serikali ya Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano katika usafarishaji mizigo nje ya nchi kama sehemu ya kukuza uchumi kwa kila nchi; https://youtu.be/OelCH-um8VU
Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na madaktari mbalimbali imefanikiwa kuweka betri mpya kwa wagonjwa 8 wa moyo; https://youtu.be/kUwDce8K52E
Fahamu kwa kina kuhusu mzee huyu wa kitanzania anayetengeneza nguo mbalimbali kwa kutumia mashine yake ya mbao; https://youtu.be/OOrr-rqkfy4
Waziri Angela Kairuki amesema zoezi la kuhakiki vyeti kwa watumishi umma ni zoezi endelevu https://youtu.be/hnueJf51mhk
Regards,
Felister Joseph.
Preview YouTube video Umoja Wa Wanafunzi Waliosoma China
Preview YouTube video Serikali Yasitisha Mishahahara Wenye Vyeti Darasa La 7
Preview YouTube video Serikali Yapewa 5 Kwa Elimu Bure
Preview YouTube video Ujenzi Wa Maktaba Ya Mkoa Dar es Salaam
Preview YouTube video Mbio Za Mwenge Wilayani Msalala
Preview YouTube video Usafirishaji Mizigo Nje Ya Nchi
Preview YouTube video Wagonjwa 8 Wa Moyo Wawekwa Betri Mpya
Preview YouTube video Tanzania Ya Viwanda
Preview YouTube video Zoezi La Kuhakiki Watumishi Hewa
|
Comments