4x4

BONGO FLEVA WANOGESHA UZINDUZI BOMBA LA MAFUTA TANGA

Wasanii wa Bongo Fleva wakitumbuiza kwa wimbo maalumu wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga. Uzinduzi huo uliofanywa na Rais John Magufuli na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, mkoani Tanga . (PICHA KWA HISANI YA MILLARD AYO BLOG)
Post a Comment