LIVE: MATOKEO YA URAIS NCHINI KENYA • Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee ana kura 21,925 (63.24%)
 • Raila Odinga wa chama cha ODM ana kura 12,238 (35.3%)
 • Mohamed Abduba Dida wa chama cha ARK ana kura 53 (0.15%)
 • Ekuru Aukot wa Thirdway Alliance 40 (0.12%)
 • Michael Wainaina (huru) 15 (0.04%)
 • Japheth Kaluyu 327 (0.94%)
 • Joseph Nyagah (huru) 51 (0.15%)
 • Cyrus Jirongo wa chama cha UDP 18 (0.05%)
 • Uhuru Kenyatta ana kura 385,649 (59.61%)
 • Raila Odinga wa ODM 256,582 (39.66%)
Odinga.
Raila Odinga amepata kura 92, naye Uhuru Kenyatta 68.
Ekuru Aukot wa Thirdway Alliance amepata kura 2.
Upigaji kura umekuwa ukifanyika Arusha, katika katika balozi za Kenya miji ya Dar es Salaam, Kigali, Kampala na Pretoria.
Matokeo ya vituo 5455 kati ya jumla ya vituo 40883
 • Uhuru Kenyatta 904,477 (57.54%)
 • Raila Odinga 656293 (41.75%)
Matokeo ya vituo 9,405 kati ya 40,883
 • Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 1,665,740 (55.39%)
 • Raila Odinga wa ODM ana kura 1,319,200 (43.87%)

 Matokeo ya punde zaidi kutoka IEBC

Matokeo ya vituo 17051 kati ya 40883.
Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 3,336,790 (54.86%)
Raila Odinga wa ODM 2,699,908 (44.39%)
Kura ambazo zilikuwa zimeharibika kufikia sasa ni 149, 634.

Matokeo ya karibuni zaidi uchaguzi wa urais Kenya

Baada ya matokeo ya vituo 26279 kati ya vituo 40883 kutangazwa:
 • Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 5,447,235 (55.21%)
 • Raila Odinga wa ODM ana kura 4,340,806 (44%)

Agosti 9, Saa ==>Matokeo ya urais kufikia sasa

Matokeo ya vituo 27016 kati ya jumla ya vituo 40883
 • Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 5,602,722 (55.22%)
 • Raila Odinga wa ODM ana 4,462,244 (43.98%)

Agosti 9, Saa ==>Kenyatta aendelea kupanua uongozi Kenya

Katika matokeo yaliyotangazwa kufikia sasa, Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee anaongoza akiwa na kura 5,743,793 (55.25%).
Mpinzani wake mkuu Raila Odinga wa muungano wa upinzani National Super Alliance (Nasa) ana kura 4,568,561 (43.95%).
Matokeo hayo ni ya vituo 27683 kati ya 40,883. Kura zilizoharibika zimeongezeka pakubwa na kufikia 260588.
Tume imetangaza matokeo ya vituo 28172 kati ya jumla ya vituo 40883.
 • Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 5,832,837 (55.18%)
 • Raila Odinga wa ODM 4,652,710 (44.02%)
 • Abduba Dida wa ARK 18,924 (0.18%)
 • Japheth Kaluyu (huru) 7,834 (0.07%)
 • Michael Wainaina (huru) 5,789 (0.05%)
 • Joseph Nyagah (huru) 26,069 (0.25%)
 • Ekuru Aukot wa Thirdway Alliance 18,373 (0.17%)
 • Cyrus Jirongo wa UDP 7,520 (0.07%)

Agosti 9, Saa ==>Kenyatta akaribia kutimiza kura 6m

Kutoka kwa kura 10 840 719 zilizohesabiwa na kukubalika kufikia sasa, Uhuru Kenyatta anaendelea kuongoza kinyang’anyiro cha urais akiwa na kura 5,989,509 (55,25%) dhidi ya mpinzani wake wa karibu Raila Odinga aliye na kura 4,764,577 kufikia sasa (43,95%).

Agosti 9, Saa , Matokeo ya uchaguzi wa urais Kenya kufikia sasa

Tume ya uchaguzi imetangaza matokeo kutoka kwa vituo 34,180 kati ya jumla ya vituo 40883 ambapo:
 • Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 6,998,750 (55.01%)
 • Raila Odinga wa ODM kura 5,619,817 (44.17%)
 • Joseph Nyagah (huru) 31,107 (0.24%)
 • Abduba Dida wa ARK 26,000 (0.2%)
 • Ekuru Aukot wa Thirdway Alliance 22,101 (0.17%)
 • Japheth Kaluyu (huru) 9,445 (0.07%)
 • Cyrus Jirongo wa UDP 9,129 (0.07%)
 • Michael Wainaina (huru) 6,967 (0.05%)
Kura zilizoharibika kufikia sasa ni 326,001

Agosti 9Saa ==>Matokeo ya urais ya sasa hivi

Katika matokeo ya vituo 35095 kati ya 40883:
 • Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 7,163,684 (54.82%)
 • Raila Odinga wa ODM ana kura 5,794,443 (44.34%)
Kura zilizoharibika kufikia sasa ni 338,584

Agosti 9Saa Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais kufikia sasa

Katika matokeo ya awali ya vituo 39091 kati ya 40883 yaliyopakiwa na IEBC mtandaoni:
 • Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 7,977,905 (54.32%)
 • Raila Odinga wa ODM ana kura 6,578,586 (44.79%)
Kura zilizoharibika kufikia sasa ni 387,959.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA