4x4

MAOMBI YA DHAMANA YA MANJI KUSIKILIZWA TENA AGOSTI 7

Mfanyabiashara Yusuf Manji akirejeshwa rumande baada ya maombi ya dhama yake kuahirishwa hadi Agosti 7 mwaka huu. kwa kuwa Jaji Isaya Arufani anayeendesha  kesi yake ana udhuru.

Manji alifikishwa leo Katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, kusikiliza maombi yake ya kutaka mahakama itengue hati ya kunyimwa dhamana iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mahakama Julai 5, mwaka huu kwa mashitaka ya uhujumu uchumi.
Post a Comment