MSUVA ALIVYOTAMBULISHA UZI WA UGENINI WA DIFAA AL JADID
Mtanzania Simon Msuva alikuwa mmoja wa Watanzania waliopata nafasi ya kutambulisha jezi za ugenini za klabu ya Difaa Al Jadid ya Morocco.

Mtanzania huyo aliungana na wachezaji wengine wawili kufanya utambulisho huo akionekana kuwa ni sehemu ya chaguo.Msuva amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea Difaa Al Jadid, akitokea kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Yanga.


0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA