4x4

VideoFUPI: Mfanyabiashara Yusuf Manji alivyofikishwa tena Kisutu leo


Siku chache baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kutupilia mbali maombi ya dhamana ya Mfanyabiashara Yusuf Manji, leo August 9, 2017 amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Manji amefikishwa Mahakamani hapo leo kwa ajili ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake watatu ambao ni Deogratias Kisinda, Abdallah Sangey na Thobias Fwele.
Endelea kukaa karibu na Ayo TV na millardayo.com na utapata kila kinachojiri kutoka Mahakamani…
Post a Comment