Preview YouTube video Umuhimu Wa Lishe Bora Kwa Mtoto
Preview YouTube video Ziara Ya Waziri Mkuu Mkoani Mbeya
Preview YouTube video Ziara Ya Waziri Nchemba Mkoani Iringa
Preview YouTube video Kuwait Kulisadia Jeshi La Zimamoto
Preview YouTube video Zoezi La Uwekaji Alama Katika Mifugo
Preview YouTube video Kanisa La Angalikana Lampa 5 JPM
Preview YouTube video Serikali Kumaliza Shida Ya Maji Nchini
Preview YouTube video Utunzaji Mazingira
Preview YouTube video Biashara Ya Samaki Za Mapambo
Preview YouTube video Timu Ya Taifa Ya Riadha
Preview YouTube video Kesi Vigogo TFF Yasogezwa Mbele
Preview YouTube video Singida United Yatamba Kuchukua VPL
Preview YouTube video Kesi Ya Vigogo TFF Yasogezwa
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments