***MASOKO YA MATUNDA NA VIUNGO ** MKIKITA NDANI YA ELVEN AGR-BAGAMOYO!

 Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita), Adam Ngamange akiangalia moja ya bidhaa za matunda  katika Kiwanda cha Elven Agri- Bagamoyo, Pwani ambapo alikwenda na Mwenyekiti wa Bodi ya Mkikita, Dk. Kissui S. Kissui kujadiliana na uongozi wa kiwanda hicho kuhusu masoko ya mazao mbalimbali.



Kwa mara nyingine uso kwa uso na wanunuzi na wasindikaji wakubwa bidhaa za papai, mchaichai, nanasi, embe, tangawizi,ndizi na Aina nyingine nyingi za viungo.
Hii ni fursa ya kipekee kwa wazalishaji waliokuwa Ndani ya mtandao na walewanaotarajiwa kuwa ndani ya mtandao kupata soko na usindikaji wenye kukizi mahitaji ya kimataifa, shida yetu ya masoko itakuwa imejibu kwa asilimia 90
Kwahiyo basi napenda kutumia nafasi hii kusema tunahitaji mazao ya mapapai, Nanasi, ndizi piga 0713240854 au 0656143785
Tunatenga kila siku ya jumatano kwa ajjili ya kukutana na wenye mazao pale keko darajani
Kuhusu bei njoo Ujaze fomu maalum itakayoelekeza uborana usalama WA bidhaa yako
Sisi tunaendelea kuchanja mbuga katika kutatua changamoto za masoko tafadhali chanyamguu kulima tuko bega kwa bega kuleta mageuzi ya kilimo Tanzania Kama uanavyo hapo chini ndani ya kiwanda cha Even Agri Dr Kissui na Ndugu Adam ngamange wakiwa na meneja wa ubora na biashara wakiangalia jinsi ya kufanya hayo mageuzi
Kazi kwenu wandugu, Mimi nimemalizia hapo
MKIKITA
Let's go to the Land with organic farming






Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA