MKURUGENZI NAMAINGO AWATAKA WANACHAMA KUNUNUA HISA VIBIDAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Ubwa Ibrahim akifungua Mkutano Mkuu Maalumu wa Ushirika Vibidar Namaingo Co-operative  Society Ltd) katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga Dar es Salaam, ambapo aliwahimiza wanachama wa Namaingo kujiunga haraka kwenye Ushirika wa Vibidar ili kurahihisisha upatikanaji wa mikopo kwa lengo  la kuendeleza miradi ya maendeleo inayosimamiwa na kampuni hiyo. Imeandaliwa na Richard Mwaikenda;Kamanda wa Matukio Blog.

Ubwa Ibrahim akifafanua jambo wakati wa mkutano huo
 Sehemu ya wanachama wakisikiliza kwa makini wakati Mkurugenzi huo akiwahutubiaBi. Ubwa akionesha kitabu chenye mambo mbalimbali yanayofanywa na Kampuni ya Namaingo
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)