JESHI LA POLISI LAKANUSHA KUWAKAMATA WAVAA VIMINI, WANYOA VIDUKU

Polisi nchini Tanzania, imekanusha taarifa zilizoenea kwamba imepiga marufuku uvaaji wa nguo fupi au 'miniskirt' na vile vile nguo zinazobana. Kamanda wa polisi Mkoa wa Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema taarifa hizo ambazo zimeandikwa katika moja ya magazeti nchini sio za kweli, na "zimetengenezwa" na "kuchongwa" kwa lengo la kutafuta umaarufu.
Kutokana na taarifa hizo zilizozagaa katika mitandao ya kijamii, mjadala mkali uliibuka katika mitandao ya kijamii huku baadhi wakihoji, ni kipengele gani cha sheria kitakachotumiwa kukamata watu watakao kuwa wamevaa nguo fupi.
Hata hivyo, ikumbukwe kwamba, nchini Tanzania, kuna utaratibu wa mavazi maalumu hasa katika majengo ya ofisi za serikali, ambapo wafanyakazi na wageni wanatakiwa kufuata muongozi huo.
Chini hapa ni orodha 6 ya mavazi yanayopigwa marufuku katika majengo ya umma Tanzania.
1.Kaptula ya aina yeyote
Kaptula hairuhusiwiHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionKaptula hairuhusiwi
Kwa mujibu wa menejimenti ya utumishi wa umma, wanawake na wanaume wafanyakazi wa umma hawaruhusiwi kuvaa kaptula kazini.
2. Nguo zinazobana na kuonesha maumbile
Nguo zinazobanaHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionNguo zinazobana
Picha ya muongozo wa mavazi zinabandikwa katika sehemu za kuingilia majengo ya umma, ili kuelekeza wasimamizi na wageni utaratibu wa sehemu hio. Wengi watakaokosa kufuata uratatibu mara nyingi hurudishwa au huelekezwa kutafuta vazi la kujistiri, kama vile khanga kwa wanawake.

3. Suruali yeyote iliaochwa bila kupindwa

Suruali yeyote iliaochwa bila kupindwaHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionSuruali yeyote iliaochwa bila kupindwa
4.Kikoi au Msuli
Kikoi au MsuliHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionKikoi au Msuli
Japo nguo hizi zinaweza kutafsiriwa kama mojawapo za nguo za kitamaduni, haziruhusiwi katika majengo ya umma Tanzania.
5. Nguo zenye maandishi zisizoendana na shughuli za serikali
Nguo zenye maandishi na michoroHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionNguo zenye maandishi na michoro
Wafanyakazi hawaruhusiwi kuvaa nguo zenye michoro na maandishi au picha ambazo utawala wa utumishi wa umma umeelezea kuwa 'haziendani na shughuli za serikali.' Pamoja na hayo wafanyakazi wa umma wamepigwa marufuku kuvaa nguo zenye maandishi ya chama chochote cha siasa au kuonesha ushabiki wa kitu fulani.
6. Nguo ambazo zinaacha wazi au kuonesha sehemu ya mwili
Baadhi ya nguo zinazoonesha maungo ya mwiliHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionBaadhi ya nguo zinazoonesha maungo ya mwili
Nguo ambazo zinaacha sehemu ya mwili wazi kama vile kitovu na kifua au zinazoonyesha maungo ya mwili.
Je, unakubaliana na muongozo huu? Je, katika nchi yako kuna utaratibu gani wa mavazi?
Picha :OFISI YA RAIS,MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Picha :OFISI YA RAIS,MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAPolisi nchini Tanzania, imekanusha taarifa zilizoenea kwamba imepiga marufuku uvaaji wa nguo fupi au 'miniskirt' na vile vile nguo zinazobana. Kamanda wa polisi Mkoa wa Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema taarifa hizo ambazo zimeandikwa katika moja ya magazeti nchini sio za kweli, na "zimetengenezwa" na "kuchongwa" kwa lengo la kutafuta umaarufu.
Kutokana na taarifa hizo zilizozagaa katika mitandao ya kijamii, mjadala mkali uliibuka katika mitandao ya kijamii huku baadhi wakihoji, ni kipengele gani cha sheria kitakachotumiwa kukamata watu watakao kuwa wamevaa nguo fupi.
Hata hivyo, ikumbukwe kwamba, nchini Tanzania, kuna utaratibu wa mavazi maalumu hasa katika majengo ya ofisi za serikali, ambapo wafanyakazi na wageni wanatakiwa kufuata muongozi huo.
Chini hapa ni orodha 6 ya mavazi yanayopigwa marufuku katika majengo ya umma Tanzania.
1.Kaptula ya aina yeyote
Kaptula hairuhusiwiHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionKaptula hairuhusiwi
Kwa mujibu wa menejimenti ya utumishi wa umma, wanawake na wanaume wafanyakazi wa umma hawaruhusiwi kuvaa kaptula kazini.
2. Nguo zinazobana na kuonesha maumbile
Nguo zinazobanaHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionNguo zinazobana
Picha ya muongozo wa mavazi zinabandikwa katika sehemu za kuingilia majengo ya umma, ili kuelekeza wasimamizi na wageni utaratibu wa sehemu hio. Wengi watakaokosa kufuata uratatibu mara nyingi hurudishwa au huelekezwa kutafuta vazi la kujistiri, kama vile khanga kwa wanawake.

3. Suruali yeyote iliaochwa bila kupindwa

Suruali yeyote iliaochwa bila kupindwaHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionSuruali yeyote iliaochwa bila kupindwa
4.Kikoi au Msuli
Kikoi au MsuliHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionKikoi au Msuli
Japo nguo hizi zinaweza kutafsiriwa kama mojawapo za nguo za kitamaduni, haziruhusiwi katika majengo ya umma Tanzania.
5. Nguo zenye maandishi zisizoendana na shughuli za serikali
Nguo zenye maandishi na michoroHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionNguo zenye maandishi na michoro
Wafanyakazi hawaruhusiwi kuvaa nguo zenye michoro na maandishi au picha ambazo utawala wa utumishi wa umma umeelezea kuwa 'haziendani na shughuli za serikali.' Pamoja na hayo wafanyakazi wa umma wamepigwa marufuku kuvaa nguo zenye maandishi ya chama chochote cha siasa au kuonesha ushabiki wa kitu fulani.
6. Nguo ambazo zinaacha wazi au kuonesha sehemu ya mwili
Baadhi ya nguo zinazoonesha maungo ya mwiliHaki miliki ya pichaMENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, TANZANIA
Image captionBaadhi ya nguo zinazoonesha maungo ya mwili
Nguo ambazo zinaacha sehemu ya mwili wazi kama vile kitovu na kifua au zinazoonyesha maungo ya mwili.
Je, unakubaliana na muongozo huu? Je, katika nchi yako kuna utaratibu gani wa mavazi?
Picha :OFISI YA RAIS,MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI