POLISI TANZANIA ILIVYOICHAKAZA TIMU YA MBEYA KWANZA LIGI DARAJA LA KWANZA


1
Wachezaji  wa timu ya Polisi Tanzania wakishangilia  ushindi wa goli 2-1 dhidi ya timu ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa katika uwanja wa Sokoine Mbeya mwishoni mwa wiki.
2
Mshambualiaji wa timu ya Polisi Tanzania, Jackson Wawa  akionesha umahiri wake  katika kumiliki mpira  wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza ulichezwa uwanja wa Sokoine Mbeya ambapo timu ya Polisi Tanzania iliibuka na ushindi wa goli 2- 1 dhidi ya timu ya Mbeya Kwanza.
3
Mchezaji wa timu ya Polisi Tanzania Jeremiah Katula akiwatoka mabeki wa timu ya Mbeya kwanza wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa katika uwanja wa Sokoine Mbeya mwishoni mwa wiki ambapo timu ya Polisi Tanzania iliibuka na ushindi wa goli 2- 1.
Picha na Jeshi la Polisi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA