RAIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI SITA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe.Sahabu Isah Gada Ikulu jijini Dar es salaam leo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea  hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe. Mhe.Sahabu Isah Gada  Ikulu jijini Dar es salaam leo 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Suzan Kolimba kwa balozi mpya wa Poland Mhe. Krysztof Buzalski Ikulu jijini Dar es salaam leo. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea  hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Poland nchini Mhe. Krysztof Buzalski Ikulu jijini Dar es salaam leo
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe. Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Uturuki nchini Mhe. Ali Davutoglu Ikulu jijini Dar es salaam leo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea saluti toka kwa mwambata wa kijeshi wa Ubalozi wa Uturuki nchini Navy Commander Murat Ozen  baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa  Urturuki nchini Mhe. Ali Davutoglu (wa pili kushoto)   Ikulu jijini Dar es salaam leo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na balozi mpya wa  Urturuki nchini Mhe. Ali Davutoglu akiwa na Mwambata wa Kijeshi Navy Commander Murat Ozen na Katibu wa pili ubalozini Nihat Kumhur baada ya kupokea hati ya yake ya utambulisho. Ikulu jijini Dar es salaam leo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Ufaransa mchini Mhe. Frederic Clavier  Ikulu jijini Dar es salaam leo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Ufaransa nchini nchini Mhe. Frederick Clavier Ikulu jijini Dar es salaam leo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea  hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Israel hap  nchini Mhe. Noah Gal Gendler  Ikulu jijini Dar es salaam leo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Israel  Mhe. Noah Gal Gendler Ikulu jijini Dar es salaam leo
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea  hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Australia nchini Mhe. Alison Chartres Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo  na  Bw.  Robert Sirotka, mume wa balozi mpya wa Australia nchini, Mhe. Alison Chartres  (kati) baada ya kupokea hati  za  utambulisho toka kwa balozi huyo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.