RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI KINGUNGE NGOMBARE-MWIRU MUHIMBILI

Rais John Magufuli amtembelea na kumpa pole mwanachama wa Chadema Kingunge Ngombale Mwiru

Rais Dk.John Magufuli amemtembea na kumjulia hali Mzee Kingunge Ngomable Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.

Mzee Kingunge amelazwa hospitalini hapo akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.

Hali ya Mzee Kingunge inaendelea vizuri


0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MBUNGE MOLLEL AITAKIA NAMAINGO MAFANIKIO MEMA 2019

JIONEE WAREMBO KUMI WA NGUVU AFRIKA MASHARIKI

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

ANGALIA PICHA WADADA HAWA WALIVYOPIGWA