Mkurugenzi wa Mkikita, Adam Ngamange (kulia), akizungumza na wafanyabiashara Visentini Steffano kutoka Italia na Duncan Washington wa Kenya wakati wa majadiliano, ambapo Mkikita kwa niaba ya wanachama ina mpango wa kununua mashine za kisasa za kutengenezea jusi za papai, embe na nanasi kutoka Italia. Wanachama watakuwa wanamiliki hisa kwenye kiwanda hicho. Kiwanda kinatarajiwa kujengwa Bagamoyo mkoani Kilimanjaro. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0715264202,0689425467
Wakiendelea na mazungumzo hayo

Steffano akimchorea Ngamange mfano wa kiwanda hicho
Steffano akiagana na Ngamange baada ya mazungumzo kumalizika
Ngamange akiagana na Washington

Comments