RAIS MUSEVENI AKITOKA SHAMBANI NA MKUNGU WA NDIZI

 Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni , ana mikwara sana , alilima shamba katika kijiji cha Kawumu wilaya ya Luweelo , haya sasa unatoka kuvuna mkungu wa ndizi anausukuma kwa baiskeli kama Mwananchi wa kawaida , hili shamba la M7 linatumika kama shamba darasa kuwafundisha wakulima wa eneo hilo


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI