Familia iliyomfanya mtoto wao wa kike kuwa ‘wa kiume’Binti mmoja wa miaka 18 wa nchini Afghanistan anaripotiwa kupitia mateso kutoka kwa wazazi wake kwa miaka zaidi ya kumi sasa, baada ya wazazi hao kumlazimisha aishi kama mvulana kutokana na kukosa mtoto wa kiume.
Inaelezwa kuwa wazazi hao ambao wana watoto saba wa kike waliamua kumlazimisha mtoto wao huyo kuishi kama mvulana, kwa kumvalisha kiume na kumfanya afanye kazi za kiume kwa madai kwamba japo hawajapata mtoto wa kiume, mtoto wao huyo ndiye atakuwa wa kiume.
Wema amezungumzia Hukumu ya Masogange ‘Kila mtu na msalaba wake’
Binti huyo ambaye anajulikana kwa jina la Sitara Wafadar anaeleza kuwa baba yake anamchukulia kuwa yeye ndiye mtoto wake wa kiume mkubwa na hata wakati mwingine humtuma akamwakilishe misibani kama mvulana, jambo ambalo kwa jamii zao mshichana hawezi kufanya.
Sitara anafanya kazi na baba yake ya kufyatua matofali ili kuilisha familia yao kwa siku sita za wiki, kwa saa sita kwa siku.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MBUNGE MOLLEL AITAKIA NAMAINGO MAFANIKIO MEMA 2019

JIONEE WAREMBO KUMI WA NGUVU AFRIKA MASHARIKI

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

ANGALIA PICHA WADADA HAWA WALIVYOPIGWA