Majonzi ya Belle 9 kwenye maziko ya Agness Masogange
Inafahamika kwamba Mwimbaji wa Bongofleva Belle 9 ndio alikua Msanii wa kwanza kumtambulisha Video Queen Agness Masogange kwenye bongofleva baada ya kufanya nae video na jina la Masogange ndio likaanzia hapo.
Belle 9 alikua miongoni mwa Mastaa waliosafiri mpaka Mbeya kumzika Agness Gerald maarufu kama Masogange ambapo alipewa nafasi ya kuongea msibani lakini majonzi yalichukua nafasi kubwa kuliko kuongea kwake
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MBUNGE MOLLEL AITAKIA NAMAINGO MAFANIKIO MEMA 2019

JIONEE WAREMBO KUMI WA NGUVU AFRIKA MASHARIKI

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

ANGALIA PICHA WADADA HAWA WALIVYOPIGWA