MKIKITA YAPATA NEEMA KUJENGEWA NA WASWISI KIJIJI UCHUMI WILAYANI KIBITI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania, Adam Ngamange na Ofisa Mtendaji Mkuu wa , Taasisi ya LoccoZ ya Uswisi, Giuseppe Zoccolillo  wakitia saini mkartaba wa makubaliano ya awali kwenye Hoteli ya Coral Beach, Masaki, Dar es Salaam, ambapo LoccoZ itajenga Kijiji Uchumi kitakachozingatia Kilimo cha kisasa, ufugaji wa Kisasa pamoja na uhifadhi wa mazingira.

Kijiji hicho cha kisasa cha aina yake nchini na Afrika kwa ujumla kitakachomilikiwa na Mkikita kupitia kwa wanachama wake kinatarajiwa kujengwa wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani, ambako 
tayari ardhi imetengwa kwa ajili hiyo.

Hafla hiyo ya utiaji saini mkataba huo ilishuhudiwa na wajumbe wa Bodi ya Mkikita ikiongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Kissui Steven Kissui pamoja na viongozi wa muda wa Jumuiya ya Kijani Tanzania (TGA). IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0715264202,0689425467
 Mwenyekiti ya Mkikita, Dk. Kissui Steven Kissui naye akitia saini mkataba huo.
 Ngamange na Zoccolillo wakibadilishana hati za mkataba huo. Kulia ni  Mkuu wa Mauzo wa LoccoZ, Karin Legler
 Dk. Kissui, Katibu Mkuu wa TGA, Meja Henry Mwizanduru, Mjumbe wa Bodi ya Mkikita, Elizabeth Ndamgoba na Abraham Nyantory ambaye ni Mwenyekiti wa TGA wakimshukuru  Zoccolillo
 Zoccolillo akimpigia saluti Mwizanduru 
 Aam Ngamange akitoa ufafanuzi kuhusu mradi huo utakavyokuwa
 Mwenyekiti wa TGA, Nyantory akieleza jinsi walivyojipanga uupokea mradi huo muhimu kwa jamii ya kitanzania
 Wakiangalia kwenye kompyuta mradi wa mfano ambao LoccoZ wameutekeleza nchini Ivory Coast.
 Maofisa vijana wa LoccoZ wakipata kinywaji wakati wa hafla hiyo.
 Ngamange akijadiliana jambo na viongozi wa LoccoZ


 Zoccolillo akitoa maelezo kuhusu mradi huo

 Ngamange na Zoccolillo wakiwa na furaha baada ya kusaini mktaba huo
 Wakiwa katika picha ya pamoja

 Wakijadiliana jambo wakati wa hafla hiyo
 Sasa ni wakati wa majadiliano
 Meja Mwizanduru akijadiliana jambo na Augustus Rwelengera (kushoto) na viongozi wa LoccoZ
Dk. Kissui akiwa na viongozi wa LoccoZ

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.