NJOO KIVITA UPATE KAZI


Uongozi wa Taasisi mpya ya Kilimo Viwanda Tanzania inayojihusisha na kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi kuhusu Kilimo Biashara, Masoko na Viwanda, inahitaji vijana wa kike na kiume wa kuwaajiri kwa ajili ya kuratibu mafunzo hayo.

SIFA; Awe na Digrii
      -Awe na uzoefu wa kuratibu mafunzo
      -Awe na uzoefu wa masuala ya  Maendeleo ya Jamii
      -Awe na uwezo wa kuitolea katika kazi za Jamii
      =Pia aweze kufanya kazi katika mazingira yoyote.

Udahili;Jumatano, Aprili 4,2018 Dar

Mawailiano;
Edger-0768000262
Adam-0656143785,
Richard-0715264202

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU