RAIS MAGUFULI AMTEUA DK. POSSI KUWA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI

Rais Dkt leo Aprili 15 amemteua Dkt Ally Possi kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali (Deputy Solicitor General). Dkt Possi ni mtaalamu wa sheria. Elimu yake ameipata Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chuo Kikuu cha Cape Town, Chuo Kikuu cha Pretoria na Shule ya Sheria Tanzania.

0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MBUNGE MOLLEL AITAKIA NAMAINGO MAFANIKIO MEMA 2019

JIONEE WAREMBO KUMI WA NGUVU AFRIKA MASHARIKI

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

ANGALIA PICHA WADADA HAWA WALIVYOPIGWA