Rais Mstaafu Zuma kufunga ndo na Binti wa miaka 24Taarifa ambazo zinashika headlines nchini Afrika Kusini katika mitandao ya kijamii ni kumhusu aliyekuwa Rais wa Taifa hilo Jacob Zuma, ameshangaza umma baada ya kuwepo na taarifa za kutarajia kuoa mke wa 5, mwenye umri wa miaka 24.
Binti huyo anayejulikana kwa jina la Nonkanyinso Conco, kupitia chombo cha habari cha Times live cha nchini Afrika Kusini amethibitisha taarifa hizo “Ndio tunaoana, hayo ndiyo naweza kusema kwa sasa, nahitaji kutoa taarifa kabla sijafanya interview yoyote”,
Taarifa zingine zinasema binti huyo tayari ana mtoto mchanga aliyezaa na Jacob Zuma ambaye amezaliwa siku ya birthday ya Zuma, April 12, na tayari mahali imeshatolewa.0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MBUNGE MOLLEL AITAKIA NAMAINGO MAFANIKIO MEMA 2019

JIONEE WAREMBO KUMI WA NGUVU AFRIKA MASHARIKI

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

ANGALIA PICHA WADADA HAWA WALIVYOPIGWA