Uteuzi alioufanya JPM akiwa Dodoma leo


Leo April 23, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemteua Dr. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB).
Uteuzi wa Dr. Mndolwa umeanza leo April 23, 2018.
Dr. Mndolwa anachukua nafasi ya Prof. Lettice Rutashobya ambaye amemaliza muda wake
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MBUNGE MOLLEL AITAKIA NAMAINGO MAFANIKIO MEMA 2019

JIONEE WAREMBO KUMI WA NGUVU AFRIKA MASHARIKI

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

ANGALIA PICHA WADADA HAWA WALIVYOPIGWA