WAGGGS AFRIKA WAIPONGEZA TGGA KWA KUONGOZA AFRIKA KUSAJILI GIRL GUIDES WENGI

 Mwenyekiti wa Afrika World Association Of Girl Guides And Girl Scouts (WAGGGS) Zoe Rakotondratovo akimkabidhi nembo mpya ya WAGGGS Kamishna Mkuu wa Tanzania Girl Guides Association (TGGA), Symphorosa Hangi ikiwa ni pongezi kwa TGGA kuongoza Afrika kusajili idadi kubwa ya wanachama mwaka 2017.Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya TGGA, Upanga, Dar es Salaam leo.Nchi ya pili ilikuwa  Kenya na kufuatiwa na Nigeria

Kiongozi huyo wa WAGGGS Afrika ambaye ameongozana na Meneja Uhusiano wake Marie Rafenoarisoa walipo nchini kwa ziara maalumu ya kutoa pongezi hizo pamoja na kutembelea miradi mbalimbali za TGGA.Pia waligawa nembo za WAGGGS  kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Jangwani na Tambaza waliohudhuria semina fupi iliyohusu utendaji wa WAGGGS iliyoendeshwa na mwenyekiti huyo. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0715264202,0754264203
 Mwenyekiti wa Afrika World Association Of GirlGuides And Girl Scouts (WAGGGS), Zoe Rakotondratovo akizungumza wakati wa hafla hiyo.
 Kamishina Mkuu wa TGGA, Hangi akiangalia bage ya WAGGGS baada ya kupewa zawadi na Mwenyekiti wa Afrika World Association Of GirlGuides And Girl Scouts (WAGGGS) Zoe Rakotondratovo.

 Meneja Uhusiano wa WAGGGS, Marie Rafenoarisoa akifafanua jambo wakati wa hafla  hiyo
 Girl Guides wa Mpango wa YESS, kutoka Madagascar na Zambia wakiwa katika kikao hicho

 Mwenyekiti wa TGGA, Martha Qorro AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA KIKAO NA UGENI HUO
 Mkufunzi Mkuu wa TGGA, Emiliana Stanslaus akizungumza wakati wa kikao hicho
 Kikao kikiendelea

 Mwenyekiti wa Afrika World Association Of GirlGuides And Girl Scouts (WAGGGS) Zoe Rakotondratovo, akielezea mikakati mbalimbali ya WAGGGS ya kuboresha chama hicho.


 Wanafunzi ambao ni Girl Guides  wa Shule ya Jangwani na Tambaza wakonesha bage walizozawadiwa na Mwenyekiti wa Afrika World Association Of GirlGuides And Girl Scouts (WAGGGS) Zoe Rakotondratovo

 Mwenyekiti wa Afrika World Association Of GirlGuides And Girl Scouts (WAGGGS) Zoe Rakotondratovo akimkabidhi bage Rehema Kijazi wa Makao Makuu ya TGGA
 Mwenyekiti wa Afrika World Association Of GirlGuides And Girl Scouts (WAGGGS) Zoe Rakotondratovo akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa TGGA, Martha Qorro
 Mwenyekiti wa Afrika World Association Of GirlGuides And Girl Scouts (WAGGGS) Zoe Rakotondratovo akiwa amevaa skafu ya Tanzania
 Mwenyekiti wa Afrika World Association Of GirlGuides And Girl Scouts (WAGGGS) Zoe Rakotondratovo akimkabidhi nembo mpya ya WAGGGS, Kamishna wa Kimataifa wa TGGA, Miryam Mjema

 Kamishna wa Kimataifa wa TGGA, Miryam Mjema akitoa neno la shukrani
Mwenyekiti wa Afrika World Association Of Girl Guides And Girl Scouts (WAGGGS), Zoe Rakotondratovo na Meneja Uhusiano wa WAGGGS, Marie Rafenoarisoa wakiwa pamoja na wanafunzi wa Jangwani
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MBUNGE MOLLEL AITAKIA NAMAINGO MAFANIKIO MEMA 2019

JIONEE WAREMBO KUMI WA NGUVU AFRIKA MASHARIKI

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

ANGALIA PICHA WADADA HAWA WALIVYOPIGWA