ZIJUE AINA SITA ZA VIAZI LISHE

 Hizi ni aina ya mbegu za viazi lishe zilizopo katika shamba la mfano la SUGECO Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro, ambalo washiriki wa mafunzo ya uongezaji thamani wa viazi lishe walitembelea mwishoni mwa mwezi uliopita, ambapo pia walijionea viazi kutoka kwa mkulima Sparta . Viazi Lishe vina asilimia kubwa ya vitamini A zinazofaa kwa afya za walaji na  hasa kwa akina mama wanaojiandaa kupata mimba, wajawazito, waliojifungua pamoja na watoto . PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;0689425467,0754264203,0715264202.

 KABODE
 KABODE
KABODE

 KIEGEA
KIEGEA

 MAJANI YA MATAYA
KIAZI CHA MATAYA


MAJANI YA EJUMULA
 KIAZI CHA EJUMULA


KIAZI LISHE CHA KAKAMEGA
KIAZI CHA KAKAMEGA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA