NENO LA KWANZA LA CHATANDA ALILOLITOA ALIPOSHINDA UENYEKITI UWT TAIFA+video

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake ya Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Mary Chatanda amesema kuwa maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa alipokuwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kumi wa UWT Taifa, jijini Dodoma Novemba 28, 2022, ndiyo dira watakayoifanyia kazi. Chatanda ametoa mwelekeo huo alipokuwa akihutubia wajumbe mara baada ya kutangazwa mshindi wa wadhifa huo na aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi huo, Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete.
Baadhi ya wajumbe kutoka mikoa mbalimbali nchini wakiwa kwenye mkutano huo mkuu wa uchaguzi.













PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chatanda akitoa mwelekeo huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI