1- Mwanamke anapokuwa na hasira, zaidi ya nusu ya anachosema mara nyingi hamaanishi...
2- Wakati mgumu sana kwa mwanamke ni pale anapokuwa mbali na mwanaume wake anayempenda kwa dhati.
3- Mwanamke si kama ' sabuni ya detol ', usipomtunza... Wengine watamtunza.
4- Inachukua muda kwa mwanamke kumwamini mwanaume, ni ngumu kubadilika anapofanya hivyo, lakini Mwanaume akiharibu unaweza kusahau kama uliwai kuishi naye .
5- Mwanamke ni shule ambayo hautahitimu kupata cheti
6- Cheti chako cha harusi naye sio "leseni ya kuendesha gari", ni "Learners permit" tu.
7- Anaweza kuwa na uchungu sana sasa, na malaika mtamu sana baadaye, yote yamo katika njia ya Mwanaume .
8- Mwanamke ni vigumu kusahau mambo, anakumbuka uchungu zaidi, ili kuepuka kumuumiza tena.
9- Mwanamke anaweza kuwa msiri sana... Mara nyingi wanapokuwa wagumu kwa mwanaume ambaye hampendi.
10- Wanawake wote Wanapenda kuombwa. wanaume mara nyingi hukosa hili.......
11- Wanawake wote wana tabia ya kipekee kama chumvi, uwepo wao unaweza usionekane lakini kutokuwepo kwao hufanya vitu vyote vikose ladha.
Comments