Mbunge Mteule wa Jimbo la Makamboko akila kiapo cha utiifu na uzalendo cha ubunge katika uapisho wa wabunge kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma Novemba 11, 2025.
Chongolo aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkuu wa Wilaya za Longido na Kinondoni na kabla ya kuamua kwenda kugombea ubunge alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.
Comments