Timu ya Taifa ya Tanzania ya umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys imetwaa ubingwa wa AFCON U-17 kwa ukanda wa CECAFA (TotalEnergies U17 AFCON CECAFA Qualifiers – Ethiopia 2025) kufuatia ushindi wa 3-2 dhidi ya Uganda kwenye fainali.
FAINALI:
FT: Tanzania πΉπΏ 3-2 πΊπ¬ Uganda
⚽ 6’ Razaki Mbegelendi
⚽ 30’ Razaki Mbegelendi
⚽ 45’ Luqman Mbalasalu
⚽ 13’ Thomas Ogema
⚽ 90+6’ Brian Olwa
MSHINDI WA TATU:
FT: Kenya π°πͺ 0-3 πͺπΉ Ethiopia
⚽ 66’ Dawit Kassaw
⚽ 79’ Biniyam Abrha
⚽ 90+3’ Biruk Eyilachew
Serengeti Boys na Uganda wanaungana na Ethiopia kama wawakilishi wa ukanda wa CECAFA kwenye michuano ya AFCON U-17 2026 huku Kenya iliyomaliza nafasi ya nne ikishindwa kufuzu.

Comments