Klabu ya Yanga SC Imekuwa klabu ya kwanza kujiunga na Umoja wa Vilabu Barani Afrika (ACA)
Mabingwa hao wa Tanzania wamemaliza malipo yao ya uanachama ya $1,000, na kuwa timu ya kwanza kujiunga na mradi huu mpya wa Umoja wa Vilabu Afrika.
ACA inawahamasisha vilabu vyote vya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza barani Afrika kujiunga na kuunda mustakabali huu wa soka la vilabu barani Afrika. 🌍⚽️

Comments