KUMRADHI WASOMAJI KWA KUISITISHA KWA MUDA BLOG HII

Wadau wapenzi wa Blog hii nawaomba samahani kwa kutokuwa hewani kwa sababu ya kutii sheria za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwamba haturuhiwi kupublish maudhui hadi nitakaposajiri.

Samahani kwa usumbufu mlioupata na mnaoendelea kuupata kwa kukosa habari za motomoto na uhondo kibao uliokuwa unatolewa kwenye mtandao huu.

Nipo mbioni kuhakikisha Blog hii inarudi kwenye hali yake ya kawaida.

Mtaendelea kupata habari kupitia kwenye akaunti yangu ya Facebook, Twitter na Instragram kwa jina la Richard Mwaikenda.

Wenu katika kazi

Mmiliki wa Blog hii

Richard Mwaikenda

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*