MADAKTARI WASIOZINGATIA MAADILI YA KIUTUMISHI KUCHUKULIWA HATUA KALI+video


 

Msajili wa Baraza la Madaktari Tanganyika, Dkt David Mzava akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Novemba 25,2021, kuhusu uzingatiaji wa maadili ya kiutumishi kwa madaktari, madaktari wa meno na wataalamu ya shirikishi.

Aidha, Dkt Mzava amesema kuwa madaktari watakaokiuka maadili ya kiutumishi watachuliwa hatua kali ya kinidhamu na kisheria.....



PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Msajili Dkt Mzava akisisitiza madaktari kuzingatia maadili ya kiutumishi wanapokuwa kazini kuwahudumia wagonjwa...

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 

0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.