SPIKA DKT TULIA AIPONGEZA WIZARA YA NISHATI KUANDAA MAONESHO YA TAASISI ZAKE+video

Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nishati, January Makamba kuhusu Maonesho ya wizara hiyo yaliyoshirikisha taasisi zilizo chini yake kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.
Spika Tulia akiwa banda la Wakala wa Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)
 

 Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson ameipongza Wizara ya Nishati, kuandaa maonesho ya taasisi zilizo chini yake kuelezea majukumu yao kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

Pongezi hizo amezitoa mbele ya waziri wa wizara hiyo, January Makamba na viongozi wengine wa wizara hiyo baada ya kukagua mabanda mbalimbali Mei 23, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Spika akitoa pongezi hizo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.