MAMBO YA BUNGENI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akijadiliana jambo na Mbunge wa Bukene, Seleman Zedi wakati wa mkutano wa nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Septemba 19, 2022 Dodoma.


Mnadhimu Mkuu wa Serikali Bungeni, George Simbachawene akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezar Felesh.
Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Kuteuliwa,Profesa Shukrani  Manya.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata akihoji bungeni ni lini serikali itaanza ujenzi Hospitali mpya ya Mkoa katika eneo lililotengwa kwa ajili hiyo?
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akijibu maswali ya wabunge.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Rita Kabati akiuliza swali  bungeni kuwa ni lini serikali iatafanya marekebisho ya ramani ya nchi?
Mbunge wa Bahi, Keneth Nollo akiuliza swali.
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi (kulia) akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige.
Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika 
Mbunge wa Kyela, Ali Jumbe Mlagila akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Bahati Ndingo


Mbunge wa Bagamoyo, Muharami Mkenge  akiwa na Mbunge wa Segerea, Bonna Kamoli


Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde

 Mbunge wa Viti Maalumu, Anastazia Wambura


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.