SPIKA, WABUNGE WALIPAMBA BONANZA LA NMB KWA WIMBO WA KUIFAGILIA YANGA+video

 Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson akiwa jukwaani na wabunge aliipongeza Yanga kwa ushindi wa magoli 5 dhidi ya Zalan FC ya Sudani kusini katika mechi ya Klabu Bingwa Afrika, aliomba kwa DJ uwekwe wimbo wa kuifagilia timu hiyo na kuucheza, kitendo ambacho kiliibua shangwe na vigelegele wakati wa mchapalo wa NMB Kivumbi na Jasho kwenye viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma Septemba 17,2022.Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge Sorts Club, Tarimba Abbas.


Mdau, nakuomba uendelee kuona clip hii hapa chini, Spika na wabunge wakijimwaya mwaya kwa wimbo huo wa Yanga...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.