Wiki ya Maadhimisho ya miaka 20 ya Tume ya ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yameanza kwa matembezi ya hisani pamoja na kupanda miti eneo la wazi la Kwa Swai Nkuhungu jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt Khatib Kazungu ambye aliongoza pia zoezi la kupandi miti.
Askari Polisi Chriter Kayombo na Edith Siwango wakihamasika kwa furaha kutokana na mirindimbo ya matarumbeta wakati wa matembezi ya hisani ya Wiki ya Maadhimisho yamiaka 20 ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora jijini Dodoma Septemba 10, 2022. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Wadau mbalimbali wakishiriki katika matembezi hayo yaliyoanzia Shule ya Msingi Kizota hadi Kwa Swai Nkuhungu.
Askari akishiriki kupanda mti.
Wadau mbalimbali wakishiriki kupanda miti
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Watoto na vijana wakishiriki kupanda miti.
Wadau mbalimbali wakishiriki kupanda miti
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Katibu Mkuu wa Tume, Patience Mtwina, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Shekimweri, Mwenyekiti wa Tume, Jaji mstaafu Thomas Mwaimu na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt Kazungu wakizungumza baada ya kupanda miti....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Comments