ZAIDI YA WADAU 3000 KUSHIRIKI KILELE MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA+video

Zaidi ya wadau 3000 wa haki za binadamu na utawala bora wa ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kushiriki katika Kilele cha Wiki ya Maadhimisho ya miaka 20 ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Septemba 15, 2022. Maadhimisho hayo yatakayoambatana na shughuli mbalimbali yametangazwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji mstaafu Mathew Mwaimu wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Septemba 9,2022.

Katibu Mkuu wa Tume hiyo, Patience Ntwina akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Tume kuzungumza na wanahabari. Kushoto ni Kamishna wa Tume, Dkt Thomas Masanja.

 

Baadhi ya wanahabari.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwenyekiti Mwaimu akielezea kuhusu maadhimisho hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA