RAIS SAMIA AZINDUA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA NAMTUMBO




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika Kitongoji cha Migeregere Kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma tarehe 27 Septemba, 2024.

Picha za Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma

 

Rais Samia akipiga picha ya kumbukumbu na wanafunzi wa shule hiyo.

baada ya shule hiyo kuzinduliwa rasmi na Rais Samia.Wanafunzi wakishangilia 









 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI

KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA