Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza vijana wote watakaobainika kwamba walishiriki kwa kufuata mkumbo kwenye vurugu zilizotokea Oktoba 20, 2025, waachiwe huru.
Aidha Dkt. Samia amesema kwa kuwa idadi ya vijana nchini ni zaidi ya asilimia 60, ataanzisha wizara mpya ya vijana ili ijikite kutatua kero na kuwaendeleza vijana.
Ameyasema hayo alipokuwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 bungeni Dodoma leo Novemba 14, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 jijini Dodoma Novemba 14, 2025
Baadhi ya wabunge wakisikiliza kwa makini wakati Dkt. Samia akilihutubia bunge leo.Baadhi ya makatibu wakuu, manaibu wa Wizara na viongozi wa taasisi mbalimbali
Sehemu ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini
Waziri Mkuu mpya, Mwigulu Nchemba
Vyombo vya dola
Baadhi ya wabunge
Comments